BUHARI KUGOMBEA TENA URAISI MWAKA 2019
NIGERIA: Rais Muhammadu Buhari(75) amesema atagombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais wa Mwaka 2019. Mwanzoni mwa mwaka huu Rais Mstaafu Jenerali Olusegun Obasanjo alimshauri Rais huyo kutogombea muhula wa pili. Buhari aliingia madarakani tarehe 29 Mei, 2015. https://t.co/2JX6YRUBdU