BRUNO MARS Aongoza kwa kutwaa tuzo nyingi za 'grammys awards'.
NEW YORK, MAREKANI: Mwanamuziki wa R&B Bruno Mars ameongoza jana kwa kunyakua tuzo 6 za Grammys ikiwemo ya Album bora ya mwaka. Album yake inaitwa ‘24K Magic’. Bruno mars wakati wa utolewaji tuzo za grammys Rapa Kendrick Lamar ameondoka na tuzo 5 ikiwemo ya Album bora ya Rap. Album yake inaitwa ‘DAMN’. Kendrick Lamar wakati wa utolewaji tuzo za grammys
Comments
Post a Comment