Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA kumuapisha Raila Odinga.

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, leo umepanga kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga kuwa rais, hali ya wasiwasi imetanda kufuatia msimamo huo wa NASA..
Serikali imeonya kuwa hatua ya kuapishwa kwa Bw Odinga ni uhaini wa kiwango cha juu.


Comments

Popular posts from this blog

BUHARI KUGOMBEA TENA URAISI MWAKA 2019