Ubomoaji wa jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo, Dar es Salaam unatarajiwa kugharimu TZS 700 milioni, kutokana na uhitaji wa kutumia vifaa vya kisasa ili kutoathiri majengo ambayo hayatabomolewa.
Kuongezeka kwa kiungo mshambuliaji henrick mickhtaryan pamoja na ujio wa Pierre aymeric Aubameyan, kunatarajiwa kuongeza ushindani dhidi ya timu pinzani katika soka la nchini uingereza (epl).
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, leo umepanga kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga kuwa rais, hali ya wasiwasi imetanda kufuatia msimamo huo wa NASA.. Serikali imeonya kuwa hatua ya kuapishwa kwa Bw Odinga ni uhaini wa kiwango cha juu.
NIGERIA: Rais Muhammadu Buhari(75) amesema atagombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais wa Mwaka 2019. Mwanzoni mwa mwaka huu Rais Mstaafu Jenerali Olusegun Obasanjo alimshauri Rais huyo kutogombea muhula wa pili. Buhari aliingia madarakani tarehe 29 Mei, 2015. https://t.co/2JX6YRUBdU
Comments
Post a Comment