BRUNO MARS Aongoza kwa kutwaa tuzo nyingi za 'grammys awards'.

NEW YORK, MAREKANI: Mwanamuziki wa R&B Bruno Mars ameongoza jana kwa kunyakua tuzo 6 za Grammys ikiwemo ya Album bora ya mwaka. Album yake inaitwa ‘24K Magic’.

Bruno mars wakati wa utolewaji tuzo za grammys
Rapa Kendrick Lamar ameondoka na tuzo 5 ikiwemo ya Album bora ya Rap. Album yake inaitwa ‘DAMN’.
Kendrick Lamar wakati wa utolewaji tuzo za grammys

Comments

Popular posts from this blog

How Chelsea could line up this season: Alvaro Morata set to take leading role as Antonio Rudiger arrival pushes Cesar Azpilicueta to the wing

Club ya Tottenham Hotspur ya nchini uingereza kuongeza idadi ya viti vya mashabiki kufikia 62,000 katika uwanja wao mpya.