Kuongezeka kwa kiungo mshambuliaji henrick mickhtaryan pamoja na ujio wa Pierre aymeric Aubameyan, kunatarajiwa kuongeza ushindani dhidi ya timu pinzani katika soka la nchini uingereza (epl).
The Club has applied to Haringey Council to increase the capacity at our new stadium up to 62,000. We shall provide an update on this application as soon as we have further information. Muonekano wakati ujenzi haujakamilika Muonekano wake utakapokamilika
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, leo umepanga kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga kuwa rais, hali ya wasiwasi imetanda kufuatia msimamo huo wa NASA.. Serikali imeonya kuwa hatua ya kuapishwa kwa Bw Odinga ni uhaini wa kiwango cha juu.
Comments
Post a Comment