NGAO YA JAMII: SIMBA SPORTS CLUB WAIFUNGA YOUNG AFRICANS KWA MIKWAJU YA PENATI.

SIMBA SPORTS CLUB Wameibuka mabingwa wa kombe la ufunguzi wa msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom (VPL) mwaka 2017/2018.
Mchezo huo wa watani wa jadi unaofahamika kama 'Dar es salaam deby' , unazikutanisha timu za simba na yanga na simba kuibuka mabingwa wa kombe hilo kwa mikwaju ya penalty. 5-4
      

Comments

Popular posts from this blog

How Chelsea could line up this season: Alvaro Morata set to take leading role as Antonio Rudiger arrival pushes Cesar Azpilicueta to the wing