Posts

Showing posts from January, 2018

BRUNO MARS Aongoza kwa kutwaa tuzo nyingi za 'grammys awards'.

Image
NEW YORK, MAREKANI: Mwanamuziki wa R&B Bruno Mars ameongoza jana kwa kunyakua tuzo 6 za Grammys ikiwemo ya Album bora ya mwaka. Album yake inaitwa ‘24K Magic’. Bruno mars wakati wa utolewaji tuzo za grammys Rapa Kendrick Lamar ameondoka na tuzo 5 ikiwemo ya Album bora ya Rap. Album yake inaitwa ‘DAMN’. Kendrick Lamar wakati wa utolewaji tuzo za grammys

JE! Arsenal itafanikiwa kuwa bora kwa forward line hii

Image
Kuongezeka kwa kiungo mshambuliaji henrick mickhtaryan pamoja na ujio wa Pierre aymeric Aubameyan, kunatarajiwa kuongeza ushindani dhidi ya timu pinzani katika soka la nchini uingereza (epl).

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA kumuapisha Raila Odinga.

Image
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, leo umepanga kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga kuwa rais, hali ya wasiwasi imetanda kufuatia msimamo huo wa NASA.. Serikali imeonya kuwa hatua ya kuapishwa kwa Bw Odinga ni uhaini wa kiwango cha juu.
Image
Ubomoaji wa jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo, Dar es Salaam unatarajiwa kugharimu TZS 700 milioni, kutokana na uhitaji wa kutumia vifaa vya kisasa ili kutoathiri majengo ambayo hayatabomolewa. BY: Swahili times twitter account.

Club ya Tottenham Hotspur ya nchini uingereza kuongeza idadi ya viti vya mashabiki kufikia 62,000 katika uwanja wao mpya.

Image
The Club has applied to Haringey Council to increase the capacity at our new stadium up to 62,000. We shall provide an update on this application as soon as we have further information.                                       Muonekano wakati ujenzi haujakamilika                                      Muonekano wake utakapokamilika